Mambo vipi,leo nimekuja kutalii huku baada ya kuzamia Jf kitambo.Mambo yanaenda?
Mambo yanaenda ila bila wewe na mimi hayawezi kuenda
Sawa mkuu… nitajikita kwenye jukwaa la uchumi
Uwe unakuja mara kwa mara
Jf sio ile ya zamani, Unoko umezidi.
Wenyewe tupo twasongaaa.kwa mwendo wa farasi au kinyonga twasonga
Cha kushangaza huku kwenye uhuru usio na mipaka hawapataki.mfano mzuri ni bwana habibu hanga anavyo baniwa sana kule jftz ila bado tuu anakomaa
Usishangae kusikia Bashite ndiye moderator…
Karibu sana Chief,
Wengi tunaonekana kutofaruhishwa na JF ya sasa, ukweli ni kwamba tunalo jukwaa hapa!
Tuache kulalamika, tufanye kile tusicho weza kukifanya kule JF.
Wenyeji tupo huku, karibu
Karibu mkuu
…
…
…