Nimekuja

Za huku jamani huko Dar es salaam kwema kabisa.
Admin harakisheni mrudishe JF kule home tumeimiss…sie
Wengine hatujazoea kuingia insta kuna utoto mwingi…jf jukwaa
muhimu sana kupata taarifa tunazohitaji na kwa wakati.

Karibu sana

Asante sana

Karibu sana mkuu @Ingalagabagacha cheo namba moja umepachikwa inaitwa NV hapa unanikuta Senior Mkimbizi kwa kuwa mgeni bado tutapea wewe kopo moja ya GETERI na usubui tutapatia wewe mayaye moja. karibu Dadaab

Karibu sana. Huku ugenini tumesitiriwa lkn nduguzo tupo tele