Nimeland Naxvegas

Kuko vipi nowadays? Dinner, BnB, mututho. Wapi kunabakisha?

Naskianga tu KANU street. Sijawai set foot naks

Kuna curfew, town is dead by 9PM. BBI tosha, uhuru na kazi!

Watoto chukua hapo platinum. Kama huogopi vindumba sugu, enda Sebs.

Ningekuwa wewe ningeenda Hyrax hill hotel na ku relax huko.
Usitamani kuingia rumande ya huko

kimakia leta hekaya vile wanaume walikuonyesha maneno hapo stenji

heheheh!

Niiii sio huyo Kimakia

kimakia uko na ufala sana. Tokea hapa platinum nikushikie white caps mbili

Pale platinum utakunywa chupa zako na ubebe momo mmoja

Niko huku juu Milimani,The Alps

Nilienda Shikpark

Leo naingia huko

Hiyo Hoteli ya kitambo…lakini sio mbaya