Nimelewa Kulewa

EngineerLMG

Village Sponsor
#1
Hey listers.

Nawapendanga tu wote. In these times of Mugabe being overthrown, and me not seeing my keyboard correctly, ningependa kusema hivi...

Andrew Kibe = @KaBuda

Otherwise, @Mrs 4th Letter, si uje unishike (Sauti Sol style) na vidole hivyo?

@pseudonym , wewe ni ule msee.

@uwesmake, shemale unadai ni Jimit = Audrey Mbugua

@Deorro, gerrarahia.

etc., etc.
 
Thitima

Village Elder
#7

Naona ukipoteza meno zingine.
 
patco

Village Chief
#12
Niliwacha kwenda staff parry after kuona live live junior staff akitapikia viatu za mkubwa.
How do you live down such shame? or worse still unaanza kutukana watu revealing all sorts of secrets. wale watu hulewa wanaanza war. hadi ushashika mkubwa shati na unamwita shenji. na ni age ya babako. In fact anajua kwenu. These parties should be banned.
 
D

Deorro

Guest
#14

hizi parties you just limit the drinks, unapatana na Glen na other expensive drinks flowing freely na wewe umezoea KC coconut, hapo ndipo watu hujiachilia
 
WuTang

Village Chief
#15
How do you live down such shame? or worse still unaanza kutukana watu revealing all sorts of secrets. wale watu hulewa wanaanza war. hadi ushashika mkubwa shati na unamwita shenji. na ni age ya babako. In fact anajua kwenu. These parties should be banned.
Zile zinakuwanga military bases zinakuanga na aibu mob sana. Watu hukula mpaka mawives za colleagues wao.
 
Top