Nimemuona mtu akimendea cheo mahali

Leo kwenye hafla ya uzinduzi wa kitabu cha mzee Reginald Mengi nimemuona Lembeli yule aliyejirudisha CCM huku ikisemekana baadhi ya wanachama hawamtaki yupo karibu kabisa na Jiwe ikumbukwe huyu Lembeli uwa pia anajipendekeza sana kwa Mzee Mengi sasa kwa kuwa hii hafla ni ya mzee Mengi basi naona ametumia fursa hiyo kwenda kujikomba kwa jiwe aweze kutibu njaa yake na kwakuwa jiwe naye hupenda kufanya mambo kwa mihemko basi uenda lengo lake huyu Lembeli likatimia si muda mrefu tutasikia huyo ng’ombe aliyefyekwa mkia akitunukiwa cheo, nchi yetu ni ya ovyo sana.

Mzee wa nyeti za kuku bure kabisa njaa inamgegeda

Nyeti hadharani; upepo ushapiga

Kwa upepo huu lazima nyeti ziwe nje!

Mkuu kitabu cha mzee Mengi kinahusu nini? Wengine hatujafuatilia.

Kitabu kinaelezea historia na changamoto mbalimbali alizopitia hadi kufikia mafanikio aliyonayo hivi leo, amekiita " I can, I must, I will

Ngoja tuone…

Cc: @Mahondaw

Mzee kachokaa

Njaa mbaya aisee

Na wanasiasa wengi si wavumilivu njaa ikiwapiga kidogo tu wanachanganyikiwa

Nilisikia nyumba yake wanataka kupiga mnada

Kwanini

Kwanini au madeni yamemzidia?

Kweh kweh kweh!! Ninakumbuka alivyomjibu jiwe wakati ule akitongozwa arudi!! Mh mimi nimekusikia wazi ukisema wanaorudi [COLOR=rgb(235, 107, 86)]wamekatika mikia!!
Alijibu mh mimi sijakatika mkia!!

[COLOR=rgb(235, 107, 86)]Sasa sijui umeota!!

kumbe sijaona vibaya eh

Watu wanatafuta ugali. Haaaaahaaaa

Nashukuru sana kwa taarifa. Nitakitafuta nikisome; naamini nitajifunza mengi, ukichukulia mafanikio aliyo nayo mzee Mengi.

Haiuzwi tena na mnada umeota mbawa, hii ni baada ya kulamba matapishi, amecheza na akili za jiwe

Siwapendi ndumilakuwili