Kumbe pia wewe unajua anaishi Kariowd40
Mukuru Kwa WD-fote
Mujinga hizi gif zako za 3 hrs zinanimalizia mbundles
Hehehehe…yaani gif inatoshana na findeo ya 2mins…
Wa musyi tafuta kazi kuingine. Hata Parapet wanaandikana. Hizo bamba kumi Rajesh anakupatia hazitoshi mboga.
Hehehe…
Saitan.
Kweli kapsaa.
What are we doing here?
Hapan tambua bundles. ;)