Nini husumbua villagers hapa.

It’s so funny to see some villagers complaining eti hekaya zinaboo,
They use all sort of vulgar language etii ooooh hiyo hekaya ni fake, oooooh hiyo hekaya haina ladhaa, ooooh hiyo hekaya iko na poor grammar, ooooh bla bla bla bla .
Is it a big deal to ignore the hekaya or thread n move on to others , who made you prefect here … ?
This group of examiners is the same lot that cant compose a paragraph but are eager to tell you matope hapa na pale …

Word… Lakini wapi ile picha ya kupigia mbuzi guitar??

umerudi msexy…Lmfaoooo . I missed u though

Ulikuwa umenimiss ama umemiss uchokozi??

Tag watu uwamulike tuwaone, then we’ll judge them on a fair court of law

@Macharia wa kamau usitishwe na mtu

weka hekaya, wakusikia vibaya ameze wembe

Mwalimu you good, usibabaishwe

Masharia nîkîî giatûma urakare muthee?

Weka hekaya wewe