Nini sababu ya kuuliza mshahara kila mwezi? Jiongeze

Wakuu,

Mkuje huku muwasaidie mawazo wenzetu ambao huulizia mshahara kabla haujatoka.

Maisha yanabadilika kila siku na vyuma vimekaza hataree.

Kama mjuavyo tunatofautiana mshahara na majukumu hivyo ni vyema wale wenye mawazo mbadala kwa watu wanaotegemea mshahara tu wawape mbinu.

Mshahara hautoshi, jiongeze

nikajua umeandika hiyo namna ya kujiongeza,huku ugenini tusichoshane sana

Nyie mnajiongeza kwa kudanga sio?

Mshahara wa mwezi June tayari??..hahahaha

Kwani kuna kosa gani kuuliza?umeshafanya kazi mwezi mzima na mwisho wa mwezi unastahili malipo ya kazi yako,kwahiyo sioni ubaya mtu kujua haki yake hata kama anashughuli nyingine inayomuingizia kipato.Shida iliopo watu walizoea sana kujiingizia pesa kwa njia zisizo halali kwahiyo mtu alifikia mahali hajali kama mshahara umeingia au la,sasa ile mianya haipo tena hivyo the only source ya income ni mshahara wake,acheni tu waulizie…

Huyo wa kwenye avatar ni wewe…??

tarehe ya mshahara ipo ktk mkataba wako au wewe unafanya kwa KanjiBai au wachina

Mambo yao waachie wenyewe…

Cc: @Mahondaw

duh sasa tusiulize au?

sipati picha mwisho wa mwezi ujao watu watavotoa macho huku wanamtukana mjomba!!

Kwan m2 kuulizia chake kuna ubaya?