Nini yaweza kuwa mbaya

Recently nimekuwa na kashida fulani.

I got bed well but nikiamka asubuhi kuna ka headache kanasikika kwa mbali,not full blown.
Then kuna blocked nose na some cough sputum inakaa kukwama kwa throat.
Shida iko wapi madaktari wa ktalk saidieni

Hiyo inakaa ni ukedi, i hope umeandika will

Watch what you put in your mouth.

https://www.youtube.com/watch?v=NbvwO_Qg82k

Wacha ufala go to the hospital…

Do you happen to be using that mortein doom yenye huwekwa kwa socket ??

Nope i have a mosquito net,dirisha nawacha wazi…

Saa hii niko poa niko cheki.maneno mahali…Lakini imbibing ya last weekend has haunted me to date,bado nasikia heartburn yake…sitawai kunywa tena…

Unajifunika gumbi gumbi when asleep thus breathing your own carbon dioxide.

Mimi siko obsessed na hizo spongy things.Beca beca is what i think about all the times,so ukedi na mimi hatujuani

Joto haiwezi ruhusu nijifunike

Rectum infection

Saa ingine nihurumiage…wee hunichapa ma KO hata nikiwa in my worst

Usafi ni muhimu - you could be reacting to some antigen- do you have molds or mildew in your bedroom ?

Enda spitali kijana, your body is passing a subtle message that all is not well.
ATI unawacha dirisha wazi ukilala? Huku forest you will be waken up by a bushbaby playing with your balls.

I am a very hygienic fella.Very clean that twice I have broken with two prospect who couldn’t match my standards of cleanliness…

I have that feeling too,let.master the courage…though at the moment i feel well.I thought ni pillow mbaya

Kimakia your 40s are approaching

hizo BJ ulipea mashoga jana, hutarudia tena.

Ni signs either za homa or probably ni sign your immune is weak. Go to hospital