Ninunue zawadi gani?

Jumamosi ninealikwa kwenye ubatizo wa mtoto wa miezi mitano. Hii familia ni ya watu wastaarabu sana. Sielewi ni nunue zawadi gani kwa mtoto wa miezi mitano.

Nilifikiria kununua bakuli na kijiko vyenye nembo ya “on your christening day” muda ni mchache.

Usiende tu

Nunua Biblia ya picha kwa watoto mkuu.

Asante sana

Uko huku tayari na sura imebadilika!

Mnunulie kijigauni kitapendeza zaidi

Avatar yako inaweza kuakisi tabia zako,inawezekana ulitaka kupost kitu kizuri lakini roho ilioko ndani ya avatar yako ikakupelekea kupost something negative,be careful…

Mnunulie baby walker, kwasababu itamsaidia miezi michache atakapo anza kujifunza kutembea

Nunua box kubwa ndani weka shumizi moja ya mtoto

Bibilia.

There are bookshops zile wanaweza kukuwekea cover ya kibinafsi. Iandikwe jina la Mtoto .
It will be very unique and special.

[FONT=courier new]Zawadi pekee ya kumnunulia huyo Mtoto ni ’ Mpina Rula ’ ili kila mara naye awe anavipima vitu mbalimbali kabla ya kuvitumia kama ’ uzinduzi ’ mpya uliofanyika nchini Tanzania juzi huko Mkoani Dodoma kwa kupimwa Samaki ambao tayari wameshatengewa Watu kwa ajili ya kuwala / kuwasasambua kwa Ugali.[/FONT]

Shukran mkuu

[FONT=courier new]Mkuu ni kule JamiiForums ila huku tunaitana Mwanakijiji ( Villager )[/FONT]

Si unajua Kiingereza wengine mpaka tuchungulie dictionary sasa Huku ugenini hata ukiomba chumvi kwa jirani inaitwa salt

Mtu katoa ushauri wa kijinga lakini umemjibu kistaarabu tu, ni wachache sana wa hivyo.

@rezidentura ametoa ushauri mzuri sana hapo.

Gauni au kiatu kitachakaa lakini atadumu nayo miaka na miaka.

Na ni ukumbusho mzuri sana.

Asante sana

Muulize Asprin nae usikie mawazo yake…

Cc: @Mahondaw

Rozari itamfaa huyo dogo hasa km ile ya Rugemalira.

Children Bible story book.

Unaweza kununua pia michezo ya watoto… hata kama ni kikubwa kidogo…