nipewe kiti

mimi ni newbie hii mtaa nilijoin january my handle was dushnyau nikasahau email address so ikabidi nitengeze handle ingine leo so allow me to re-introduce myself kadushnyau, anyway naona mabirrionares ndio wengi huku… its funny mtu anaeza kuwa anything kwa mneti mtu ana kutusi vile we ni maskini alafu analog out anaenda kukula chapo ndondo kwa kibandaski…nipeeni kiti sasa

2 Likes

Sema JOHO JUU JUUUUUU JUUUUUU SAIDI…

3 Likes

Hakuna Kiti simama…

3 Likes

@dushnyau ni babako ama boyfriend yako?

JOHO JUU JUUUUUU JUUUUUU SAIDI…

tulia pia wewe…mefi

1 Like

Noggle NV utajifunza kuheshimu wazito lini? Ni mimi unaambia nitulie?

2 Likes

Sounds familiar. Uncle @Uwesmakei, huyu ni nani?

1 Like

[ATTACH=full]90637[/ATTACH] kalia hapo

1 Like

Hehehe, sasa uko ndani ya mneti.
Anyway karibu.

huyu ni midget @Jirani piga yeye musitari prisss

8 Likes

Wacha I conduct further investigashen.

1 Like

inakaa wewe ndio chief uku @uwesmake ama ni bibi ya chief…

Welcome back @Jiran

Piga magoti ukiangalia uwanja wa mbuzi, kisha utamke jina la Sultan kwa mbwembwe na madaha.

2 Likes

Hehe jirani huchoki yani…

Anataka kuchukua posishen ya Bingwa al Scrotum:D:D:D

2 Likes

salamu ziishe, jirani get to work…

1 Like

ata sijui jirani ni nani please admin saidia hapa please

2 Likes

@Jirani, umejiuza hapo. RIP shortly.

1 Like