NIS maize seller?

johnpombe

Uhuru amefanya kazi buana!
#10
He even has a name tag hanging kwa his neck. Hata hio wire mesh ya kuchomea mahindi seems haijachomwa na moto for more than a few minutes.
 

Ubongo

Village Sponsor
#16
Sasa tuseme Arror akitaka kuosha rungu analetewa kunguru ya NIS ama kikosi secret ya jeshi? Kuweni serious. Chakula ile random kwa street ndio haiwezi kuwa poisoned, ii ya kupikwa na mfanyikazi wa government Arror hawezi kula.
So yeye hukula wapi
 
Top