Nisaidieni jamani

Habari wakuuNaomba msaada jinsi ya kutoa number iliyo blacklist kwenye ITEL it 2090[ATTACH=full]178614[/ATTACH]

Mkuu kwenye screen hiyo ya blue ni nini?

Kuondoa usumbufu, please restore hiyo simu