Subaru gang watasema oh Subaru siku izi ni Toyota, they no longer build them as they used to. Wrong. Toyota prevented Subaru from going under, kwanza time ya Rona walikua mbaya kabisaa Serikali. Anyway, Subaru 2019-2022 zinakuja na Refined CVT, Rav4 za same years umepewa options, eCVT, Manual, AT. Watu wa subaru mkuje kutupa mawe niko na helmet.