Nissan diesel water pump

[ATTACH=full]147267[/ATTACH] [ATTACH=full]147268[/ATTACH] My truck has been having overheating problems. After diagnosis my mech akasema bearing ya water pump imeharibika .kutafuta hio bearing haipatikani nikaamua kununua the whole water pump but shida n pump zapatikana ni smaller cannot fit na no modifications can be made.nimezunguka nikitafuta lakini sipati gari nayo iko grounded 1 months sasa.Anyone who can lead to genuine spare dealer will be appreciated. Truck make Nissan Diesel UD440 South African make[A TTACH =full]147267[/ATTACH]

Pole boss alafu gari ilikua inakunywa maji shida hata inaweza kua radiator chafu usishangae ukinunua ingine upate shida iko bado

True .After kuosha radiator yangu gauge haifikangi nusu hata .

Pole mzito, Kwa masaibu, habari ya masiku.

Hiyo bearing kawaida ikianza kuharibika makes a grinding sort of noise…chunguza radiator sana

hio ndio shida lakini kuipata ndio issue

musuri sana.gari tu ndio hainitakii mazuri

boss kimbia nissan kenya(not DT dobbie) watakuletea hiyo water pump ASAP.