Nissan. GT R for sale.

[ATTACH=full]29119[/ATTACH] Tafuta customer you get 100 k commission. 6.2 M [ATTACH=full]29115[/ATTACH] [ATTACH=full]29116[/ATTACH]

7 Likes

Leta deposit ya commission nianze kazi.

1 Like

sweet baby Jesus

1 Like

we come together and buy it as a village. Only elders will be allowed to drive it.
@Ice_Cube bring that 1M that is doing nothing in your account…we’ll raise the other 5M.

6 Likes

hehe wacha niangalie, naona kuna ka 1.4 M loose change

2 Likes

safi sana lakini pesa za Eurobond zimeisha wacha tungoje scandal ingine itanyakuliwa na a shadowy figure

1 Like

Mimi ni ko na 1.098M itasaidia?

this gtr passed me kwa ile underpass ya pangani manze the echo caused by those twin dual exhausts left me depressed the whole day
:(:frowning:
sweet machine lakini sijafika hapo bado

5 Likes

:eek:6.2m na si kaplot,Wacha nifanye kazi niko na mchezo sana

Where can I view it?

Ile insurance unalipia hiyo inaweza nunua vitz lakini ktalk mirrionares hapana tambua hiyo ni pocket change kwao

yani kwa mwaka unatoa atleast 280k insurance

or achukue ka third party ka Xplico 5k per year

2 Likes

hii ukienda nayo pale agakhan uweke 4sale haitalala alafu pia unaweza zunguka tu parklands yote hao wahindi wanapenda hizi sana ama gari yoyote inatoa hio sauti kwa xhaust

3 Likes

ok. ok

napenda … :rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:

[ATTACH=full]29179[/ATTACH] [ATTACH=full]29175[/ATTACH] [ATTACH=full]29174[/ATTACH]

[ATTACH=full]29182[/ATTACH]

2 Likes

A very expensive coffin

Wapi mabirrionare @Wakanyama @Okiya tumewaletea katoy kampya bidding ianze

1 Like

this is when you realize hawa ma mirrionaire wetu hapa ni mshuto tu wanajua kutoa