Nitumie fare

Mimi naonanga women are never broke…depends who is asking that question…hata fare pia…kama wewe ni mtu hivi hivi anakushow sina fare…lakini kama anakutaka na anajua hiyo ikus itawaka moto…yeye ndo anaeza kutumia fare…halafu hata akuwachie ya macho…

Kijana utaoa lini??

tuma fare na uache kelele

I thought ulishajinyonga …alpha Male never voices depression …hiyo ni ya mama wajazito

:D:D:D:D DONE

Hehe… Mimi kuna mwingine alikuwa anahitaji 200bob usiku ati ako mahali amekwama na hana fare. Yaani alikaa chini akafikiria mimi ni fala ati nitatuma? Told her sina kitu Mpesa aulize mtu mwingine starting with family members.

[ATTACH=full]239466[/ATTACH]

Betamale detected