why do you always overcook your vegies? changanya collard greens with Swiss chard then cook kwa gas with onions and oil pekee for like 8 mins na uko sawa.
halafu kuku ukipika vizuri hauhitaji Avocado, hii tabia ya kuweka avocado kwa meats haileti shangwe, either you are a really bad cook or ulirogwa na machawi akakufa. afadhali ungeweka kando ublend to juice or uunde guacamole
halafu ugali ya kusiagwa ikikushinda kupika wachana nayo, unaweka unga mob sana ugali inakaa ni kama ilikuwa inapewa kuku zidone. Ugali should be compact na sii hizi ujinga mob ikimix na supu inaform uji ya brown/green
otherwise tafuta dem juu wewe ni malenge sana kwa mapishi