No tactics.

Bora shibe.

https://z-1-scontent-bru2-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xap1/v/t1.0-9/12507404_10153918484324697_6214029801621282862_n.jpg?oh=52c2c0f0a0384c6c1ef366f51b0dc7a3&oe=57458B2B

One person.

1 Like

He he yani unakula chicken na chicken products kwa sahani moja :smiley:

1 Like

Chakula ya kuku,Mtoto ya kuku na kuku mwenyewe…acha ukuku

12 Likes

He he he, hii buffet ya end year party lakini sielewi kwa nini uchukue maindi pamoja na ugali, mayai pamoja na kuku. Ni mimi naona vibaya ama kuna githeri kwa hiyo sahani.

1 Like

Sijui a place along Kiambu Rd called Sidai Oleng. A friend had sent me this but too bad an not into this kind of food. In fact I barely eat.
[ATTACH=full]28047[/ATTACH]

2 Likes

Yes Mohamud Abduba Dida tales of leave a room for extras hakuna.

thaaat is food now…minus the mayai boilo…

3 Likes

Ukikula hivyo na kuongeza pombe juu, by 2017 elections kitambi unabeba kwa wheel barrow and by 2022 before Ruto becomes president you will be swapping stories with akina Musa and Aaron.

5 Likes

Looks like ile mabaki ya hoteli mastreet people hupewa

1 Like

hiyo ni ugali ama chumvi

i doubt your sincerity…

1 Like

Zikifika kwa tumbo, zitamix zote. Tumbo haijali

2 Likes

Don’t, It real clean food. very delicious.

Lunch… [ATTACH=full]28051[/ATTACH]

4 Likes

it is the sincerity of that guy who said it looks like leftovers that i doubted…

hii ni mafuta tupu murume. Are you trying to gain weight?

Hii ni real recipe ya kuumwa na tumbo.

1 Like

nimeanza kuskia njaaaaaa banaaaaaa

3 Likes

mafuta gani m-say, mafuta unaacha papo hapo kwa sinia…

Balanced diet

2 Likes