Noah kumaliza battery.

Juzi nimenunulia Bibi Noah second hand 2003 ya kubeba wajunior na familia. After a few days, battery (a relatively new NS70 Maintenance Free) ikakufa. I walked into a chloride exide dealership nikanunua ingine exact and had it fitted. Less than 2weeks later the same battery is low, ukiweka hazard dakika kidogo kando ya barabara, inabidi you jumpstart the jalopy. Two months later, juu ya Corona Bibi haendi mbali sana, gari ikikaa 3days, battery inaisha hata haiwashi taa kwa dashboard. I’m here wondering shida Ni battery ama gari? Mech anasema maybe mlango inakuwanga wazi ama alarm. but gari inafungwa haina taa imebaki kuwaka.

cut link zote na huyo mechanic. battery hazina shida

4 situations

  1. Alternator mbaya
  2. Short kwa wiring
  3. Loose battery terminal
  4. Old battery
    Number three is easy to miss and easy to fix

Vile @sani amesema

That’s a very stupid mechanic …and it wouldnt be your business nor ours …but he is bleeding you money; damn right it’s your right to be so pissed

Check wiring tu na ka alternator iko sawa

Sana sana , shida iko kwa wiring ,lazima kuwe na chot mahali

change mechanic

Vile wote hapo juu wamesema…most likely culprit ni alternator ama wiring…yote tisa, change the mechanic.

Gari swaffi

Alternator is the culprit here, have it removed and checked maybe ilichomeka and can’t charge the battery,…Kwa dashboard is there the red battery light on!

Kwa dashboard ukizima gari ufunge milango hakuna light yeyote. Gari ikiwaka iingie kwa barabara haina shida.

How far does the wife drive? School,shopping etc? the alternator might not have enough time to properly recharge your battery between pit stops. Angalia glovebox compartment,sun visors pia ,ka iko na bulb ung’oe .Check on worn out fuses,umesema gari ni sekend hend,otherwise badilisha alternator

The most likely problem is a faulty alternator

Niuzie hizo battery mbaya na soo mbili mbili

Faulty alternator. Use a voltmeter, see if the vihecle is running, it clocks 12.75 volts to 13 volts. Anything below that means an undercharge, and the alternator needs its brushes changed. Wont cost you 500 bob.

Alternator iko mbaya ,buy a volt meter and test the battery terminals , anything less than 12 volts means that your alternator is " dying" and needs to be replaced.

Exactly.

Mnatoanga nguvu ya kununua gari ya 2003 wapi. I watched mybrother suffer with a Nissan Murano adi akakonda heri nibuy write off niinjenge mos mos ata kama ni 1yr.

Chukua spanner upitishe mbele ya hio bearing ya alternator while the car is running. You should feel a magnetic pull if the alternator is working right. Kama huskii magnet ikishika spanner na kukwamilia, there is your culprit; a faulty alternator. Simply change it with an ex-japan and off you go. Else, have a kawire check the harnesses for any short circuits.

I once had this problem nilikua natoa battery naweka kwa nyumba kesho asubuhi narudisha na gari inasonga until that day i sold it without telling the buyer shida. I felt nimeskuma shida next door. Anyway consult a legi mechanic, huyu chokora wachana nayo.