Noah's flood on a lazy Sunday afternoon

#1
Inakaa Naivasha kumenyesha ile ya baraka. NWBC radio iko poa. Wish ingekuwa ikishika Nairopi.

Anyway olmonk alienda wapi? Alipata mschana?

Alafu hii christmas itakuwaje wadau? Wedding show bado inakujanga?

Niliona pia sundowner imeanza kuletwa on kbc tv channel one....dope stuff happening in Ke.

Watu wa diaspora mko aje? Mbona hamletangi hekaya za huko mliko?

Hao wengine akina NV, V, SV, VE na fellow VS weekend imekuwaje? Na show ya nairovi inaanza lini? Kunanyesha mahali mko?

#101
 
Top