Je, kunani?
You need to scroll down kidogo.
Exams manenos
If you are a parent take note, if you are a teacher take a better note. If you are a principle review all manuals. We are all liable.
How? Just after Njoki Ndung’u atupilie petition mbali? Due to postponement of exams you mean?
Sijakuelewa hata kidogo
The timing. Is it because Njoki Ndung’u’s ruling will affect exams?
One thing I know is September inakuwaga na mambo yake in every year. Ukkweka story za politics kando uanze kuangalia calendar zote za hapo nyuma utaona kila mwaka lazima kutokee vitu kama hizi za shule kuchomwa.
which school has burnt again?
Okay, schools burn when on fire. Better question who is setting schools on fire.
Apart from those girls and boys, who else is supposed to enter to dormitory’s?? Nani huyo anaweza funguliwa gate akubaliwe aingia mpaka kwenye watoto wamelala
Let me ask then…why are schools burning all over ??
Wanaogopa exams.
Hawa watoto wa basokiso…wanahitaji maombi
Cartels are targeted
Wakipata mwenye amechoma ahukumiwe kifo.
Huwezi peleka mtoto shule alafu arudishwe na zile body bag zenye gava zilinunua
Ngoja tuone vile elections zitaenda ndio tuone hii mambo
Could be true
I asked that on another thread about sneaking away from school and was told that many schools aren’t fenced off completely.
Hio siku nakufa pia
Tena utasikia mtu akisema alipeana pesa za kufence mashule