North korea warusha kombora kwenye anga la Japan

Korea kaskazini imerusha makombora yake ambayo yalipita Japan kabla ya kudondokea baharini.
Makombora hayo yalisafiri kuelekea mashariki karibu kilomita elfu moja juu ya kisiwa cha Japan cha Hokkaido. Tukio hilo limechochea tahadhari ya hatari ambayo watu walielekezwa kujificha katika maeneo yaliyo chini ya ardhi ama kwenye majengo yaliyo imara. Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe amesema urushwaji huo wa makombora ambao haujawahi kutokea , umeleta kitisho kikubwa kwa taifa lake. Katika mfululizo wa majaribio yake ya makombora ya hivi karibuni Korea kaskazini haijawahi kurusha makombora yaliyopita juu ya ardhi ya nchi hiyo, hivyo tukio hili la sasa limeleta wasiwasi mkubwa. Katika siku za hivi karibuni Pyongyang ilijaribu kombora lake lililopata mafanikio kutokana na uwezo wake wa kuweza kuifikia Marekani na kuonyoa kuwa inasimamia mipango yake ya kushambulia kwa makombora eneo la Marekani la Guam, kilomita elfu mbiili kusini mashariki mwa Japan.

NV, hii tuliona when they were mining the plutonium to fire that shit.
Umepewa kiti? if not, relax hapa kwanza as you await orientation from Atwoli.
https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSePL-ZLBUgAE9IRllFNxkcsmt5TmunsXFpFDSaibxSlWMnNUkLKg

5 Likes

kim anawafundisha adabu wa USa

@Visacard = @Mosa = Vifaranga vya Computer

[ATTACH=full]122745[/ATTACH]

Upuss go away sand potato

Naaaaaaaaaam!

Wewe ni limbukeni wa maisha

Mimi ni jogoo kafaranga

NV kwani una app ya taifa Leo?

Habari KAMILI na KWA UREFU NI SAA NGAPI