Nostalgia 1980s, 1990s

1. Youth Fountain Pen
Hizi ungepoteza ukicheza ujue hiyo ni vita jioni
[ATTACH=full]259642[/ATTACH]

2. Puzzles za Kijinga.
[ATTACH=full]259648[/ATTACH]

3. Little Was Known about Ukedi.
People used to be buried wrapped in polythene bags
[ATTACH=full]259650[/ATTACH]

Never owned a fountain pen.

Kumbe Walunje walianza kufa na ukedi zamani

Luhyia’s are yet to conquer poverty, disease, ignorance and hunger.
A kamamega man will kill his father for food.
A kakamega man will exchange his wife with a neighbor.
A kakamega man will come to Nairobi to be a Watchman for 5k per month

I went to a school where fountain pens were compulsory…Always, lost and broke them.

Wewe sini mtoto wa 1999. Sisi kuingia form One ilikuwa 1992. Form One Bullying ilikuwa kama military camp. Tulikuwa tunaenda dorm kulala 11pm ukinyemelea kama paka usitingishe bed Form 3 ama 4 aamuke uchapwe kama nyoka.

The only time I ever used a fountain pen was whilst attempting to be romantic to my Berlin penpal.

[ATTACH=full]259660[/ATTACH]
Catherine Kasavuli

how we learnt biashara, ukipea mtu drop tatu za rangi atalipa zikiwa nne

Nani anakumbuka Game ilikua inaitwa TREK, played with bottle tops zimevalishwa “Past” do you even know past, ilekitu nyeupe plastic/ rubber huwa ndani ya pekele,

Side chick wa Moi ama?

Was it true that Moi alikuwa anadinya students wa girl schools za jina yake kama Moi Girls’ ?

kumbe njaa namalisa sisi na Mimi pia ni watchman na sikujua. Am glad you hail from a community which conquered ignorance, hunger and disease in 1963…lucky you

Moi alikuwa anatomba ma headmistress, tafadhali usichafulie mzee jina hivo.

Fossils detected

Spot the ball was the first mbotochop.

Big Daddy was a comic strip.
Wait!
Was it Big Daddy or Big Ben?

Hero fountain pens…

Siku za goody goody, tropicals, patco na biscuits za peni. Come to think of it… 1 cent had value as it could buy you a biscuit.

play downwards