Nostalgia

There are things you can only relate to if you were born before or early to mid eighties.

  1. Sleeping on a mat(jamvi). Inabwagwa kwa floor na mnalala hapo watoto kama kumi, kila mtu anataka alale katikati. Wale wa kukojoa watakukojolea na wale wameshiba watanyambia hapo hapo. Blanketi ilikuwa moja na nyinyi nyote mtoshee hapo na ilikuanga chafu viserious. Na kama ziko mbili, unaezajua yenu kwa giza na harufu yake.

  2. Walking barefoot and bare chested. Tumbo inafika hukoo, watoto ni kushiba, usafi ni luxury, all sorts of juices na soup zimechora line kwa tumbo, alama ya uji iko kwa cheeks na hapo kwa forehead. Watoto hawakuwa wanaruhusiwa kuenda chooni kwa hivo kila mahali ungepata kinyesi, especially during harvest seasons.
    Kama ilikuwa na masuruali zilikuwa zimemewekwa kila aina ya patches, yaani hata rangi yake enyewe utakosa kujua. Your only decent cloth was the school uniform. There was nothing like trousers

  3. Falling sick wasn’t very common but ukigonjeka, kuna herbs zilikuwa unachemshiwa alafu unafunikwa kwa blanketi na hiyo moshi, unatoka hapo karibu unazirai. Kwa maombi ya mzazi unapona by the grace of God. Hata kwashiorkor ulikuwa unachanjwa na razor blade unawekewa dawa ya jivu hapo kwa tumbo na ingine unawekewa kwa ulimi. Dawa ya malaria ilikuwa ni chloroquine na ulikuwa ukiimeza, utatapika kitu ya yellow na unapona. Pia kuna kakitu kilikuwa kinatoka hapo kwa throat unaambiwa ukilamba sukari mingi itakushika. If you open your mouth, somebody peeps inside aangalie vile yako imegrow. Uende ukatiwe na makasi alafu upewe njugu utafune, hiyo uchungu weee.

  4. Michezo ilikuwa mingi sana, from kalongo, tapo, babligan, araondas, katolo, hide and seek, bird hunting, name it. Na nyimbo yenye tulikuwa tunacorrupt kama hizo lingala za akina Aurlus, Yondo, Kanda, Franco, Rama. Kama sisi kwetu ungetaka kuwa beshte ya mtu ilikuwa lazima mpigane ndio mkuwe mabeshte. Fighting ilikuwa kawaida, hata mnaezatoka shule saa saba mngojane kwa gate mmalizane.

  5. Hairstyles zilikuwa mbili, aidha unyolewe kipara na wembe ama upigwe makasi, no kinyozi. Ilikuwa unakanyagiwa kiboko chini na mother amekufinyilia katikati ya miguu yake, askie tu sauti eti makasi imekuchuna. Kuoshwa pia ilikuwa ivo ivo, unasuguliwa na manila karibu utoke damu na asiskie sauti.

  6. Mtu akifa alikuwa anazikwa within two to three days, hakukuwa na story za mortuary. Unalazwa kwa mchanga baridi na unawekwa shillingi kwa shavu, whatever it meant. There were no phones, barua iandikwe na conductor aidrop kwa stage ya huko ama telegram pap. Hakukuwa na story za tents ama plastic chairs. Tuangushe miti tujenge kiwanja na watoto wa shule walete desks watu wakalie, period!

  7. TV ilikuwa black and white na unaezapata ni mwalimu moja was primo ndiye ako nayo in the whole village. Radio alikuwa KBC na lazima ungoje time ya lugha yenu ifike ndio utune in and by midnight, station inafungwa na national anthem.

  8. Nyakati hizo kila boma ilikuwa na ngombe. Mnaenda kuchunga ngombe na mnaingia mchezo mpaka ngombe wanapotelea kwa mashamba ya wenyewe. Viboko nazo. Na ulikuwa unaezachapwa na mtu yeyote mkubwa as long as ni makosa.

  9. In primary school, a teacher could cane the whole school. Huko ndio kama mwalimu ako na grudge na mzazi wako, you had to bear the brunt.
    Tulikuwa tukienda kitu inaitwa cross country na nyimbo tulikuwa tukiimba, wacha tu, Mungu atusamehe.
    Alafu Fridays tulikuwa na PPI kabla hatujaanza lessons.
    Watoto was siku hizi have missed a lot, the real life

They know gaming na kathalika. If you take the gadgets away they look like recovering alcoholics:mad:

Real TBT msee…siku hizi mtoto wa class two ako kwa all social media platforms…

Kulikuwa na Ile game ya duff mpararo.
Almost cost me my mjuols…
Pale mteremko ya kuenda mtoni, we’d slide ndethe Kwa matope tumejiundia na maji from the river… once nikislide I went off course nikajipata Kwa vikingi, scrapped my mjuols Hadi nikaona ‘whites’

[SIZE=4]Scrotum ilishonwa…[/SIZE]

:D:D:D:D

tbt hio

@Nyarwath hio mchezo YA babligan Ni gani? Asking for a friend