[ATTACH=full]436352[/ATTACH]
Hakuna wakenya Huko?
Inakaa hakuna
Wanjiru Wanjiku alikuwa sheltered na Dr. Sarah Mwangi wakati vita ilianza. But Kenyans sio wengi kama hizi ghaseer za West Africa.
Lakini mbona uende Huko kwote kufanya medicine na UON ikona parallel program. Maisha ni yake