Notification on email.

Moderator sihitaji kua napata notification za mijadara ya kt kwenye email yangu.nini cha kufanya?

Enda kwenye settingis za emaili na ubadili hapo kwenye ’ receivu emaili notifikeshoni’ na uchague ipasavyo

Elukamanoo

Uncheck receive email zote, MBAFFFF!!!
[ATTACH=full]185396[/ATTACH]

:D:D:D Mnanichosha tu yani
@123tokambio huyu jamaa kwanza angejua maana ya jina “dome” aka “madome” (ile ya kuku) alafu ajijazie maana ya @Mwanadome

[MEDIA=imgur]cZSVhBv[/MEDIA]

[emoji16] [emoji16] hiyo madome ni ya pande hiyo ya naii.huku tz ina maanisha vingine.over

Kuna MP wao mdame anaitwa Hawa Ghasia :smiley:

[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] .sio huyo tuu tinae MP aitwae SELEMANI BWEGE.hatushindwi sisi

Walahi imebidi nigoogle na nikapata noma sana…hehehehehe. Yaani hapa mtu anaeza kutusi na asifanywe chochote sababu ni jina lako ameita…We Ghasia wewe niskize…Vipi Bwege ? Huyo mama akiolewa na huyo jamaa atakua mama Ghasia mkewe Bwege :D:D:D
[ATTACH=full]185453[/ATTACH]
[ATTACH=full]185454[/ATTACH]

Sasa umeanza mikingamo yako.kwakua umekua kua na heshima na majina ya watu aisee.but na pande hiyo ya naii kuna names za kuduwaza.example KAKA MEGA,NYAYO,WAINAINA[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]