Numbisa, Coco channel, Miss Natafuta,

Karibuni huku, chai tayari

Asante,nimekuja na vitafunio kabisaa[ATTACH=full]177021[/ATTACH][ATTACH=full]177022[/ATTACH]

http://www.vegkitchen.com/wp-content/uploads/2007/09/Homemade-Chapatis.jpg

[ATTACH=full]177023[/ATTACH]

Hivyo vitumbua…

Vitumbua navipenda sana
@innaa

Ntolilo = numbisa???

nkupikie au

Natamani hiyo mihogo na samaki

Mambo ya kwetu Kwamtogole

VITUMBUA

Ntakupendaje ukinipia swirr!

kumbe bado hunipendi mpk vitumbua

Hapo kuna swali, nikimaanisha kwa jinsi nnavyokupenda sijui nitaongeza kiasi gani tena cha upendo kwani hata sasa nimekupa pendo lote jmn

Ndio mkuu

:p:p

aaah poa poa

cocochanell yumu humu aise nimemmiss sana hasa mithali zake kule kwenye malikes

Kitumbua kizuri

tuwe tunashtuana aseee, sijaona ubuyu wa zari halafu ha ha ha