NUNUA NDEGE LAKINI HULIPI PPF ZA WASTAAFU ATCL KWA NINI?

Ni faraja kununua ndege na kutanfazia ulimwengu. Mbona mheshimiwa Magu wastaafu wa ATCL bado wanateseka kutopata mafao yao ya PPF japo walichangia walipo kuwa katika ajira. Wanapigwa dana dana kati ya wizara Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na wizara ya Fedha. Kuna nini kuhusu hayo madai. Uhakiki mara mbili tayari. Mahakama ili amuru kukamata mali za ATCL ili kuzinadi kuwa lipa wastaafu wizara Ujenzi na Uchukuzi ikaingilia kati kwa ahadi za kulipa. Sasa ni zaidi ya miaka minne hakuna malipo. Raisi Magu na msemaji wa serikali Abasi mnasema mmelipa uwongozi wa shirika la PPF wanasema mmelipa pesa mlizo wakopa wakati wa uchaguzi na si madai ya wastaafu. Chonde walipeni wastaafu shirika lisipate laana. Wewe Raisi uliwaita viongozi wastaafu kitaifa kupata baraka zao hebu walipeni hao wazee wastaafu ATCL ipate baraka.

kutangazia

Ndege zinaonekana ila malipo hayaonekani, utawaweza wazee wa Makik

Haswaaaaaaaa

Yaaani full ujinga

Sarakasi zingine bhana

Hatupangiwi…

Pesa za kununua ndege zipo ila za kulipa wastaafu hatuna, hapa kazi tu…

Cc: @Mahondaw