Nuthin much, jus having coffee while i wait 4 mwoman Yvonne

Ile coffee mtu ukunywa na keki fulani ya chocolate hivi.
[ATTACH=full]238966[/ATTACH]

Cheki, hivi ndio ko uenda. Uki tumia fork hivi. Una chip kale kakeki unaingiza kwa mdomo. Kuteremusha unachapa ile coffee kasip. Manze mseh anaskia kautamu fulani ina penetrate kwa tumboste banae.

I know most of u are jealous and hurt coz mmezoea kuenda kwa kibandaski inakuwa served chai kwa zile vikombe za mabati banae. Saizo umeshikilia mandazi na ka gazetti which acts as your serviette.

Alafu apo kwa ile kibandaski kuna msee amevaa dust coat chafu anazunguka na birika ya mabati imerust akiongezea watu chai. It can never be me. Nikama hamjipendi

For a midget you have huge hands

I always tell niggaz here that am not a midget but u never listen so I let it slide

Gaaay!

How is it gay

Niwai few dollars niingie kibanda nijibonde chai Man.

Sasa huyu waiter ni meza atapanguza ama nima bakshishi atamliza !

Tell him bruh? Very gay

Nitumie 50 bob nikunywe chai ya 20 na mandazi tatu ya ten ten.

chill kidogo mapro wakam wachambue iyo picha…tukianzia na iyo simu iko kwa mfuko…utaambiwa hadi make…ngojea tu ata utawaskia wakiuliza mbona hakuna meza ingine kwa iyo restaurant ama iyo ni ile meza ya staff wa hoteli huekwa huko nyuma pande ya parking…utawaskia tu…hawakutakiangi

Haya mambo yote ,uliyajulia wapi, Kadogo?

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

not surprising, hata vichwa huwa wako na kubwa

Kama kale kajamaa ka game of thrones

tunaona hapo huwezi kanyaga chini ukiwa kwa kiti.

Only beta males are made to wait around by women. Sisi alphas ukichelewa nimeenda

Midget mkono kauka. Hizo mikono sandpaper uki-rub pamoja si zinaweza washa jiko:D:D

:D:D

Gaaaay!:meffi: