nv's kupigwa mapanga

so,tumefika mtaani na a few mjangos…ofcourse ma ariff wangu, from a drinking spree.
Tumebeba kamzinga moja take away ya kuchangamkia kejani.sisi hao tumecheza hiyo mzinga pole pole tukiwatch mavida kwa lappy mdogo tu.
After mzinga imeisha ni watu wazidi kwao bt one of the mjangos amebleki,hamna shida ntamhost tu.Hao wengine washajtoa.So mimi nmebaki nkiwatch movie,I dnt sleep early.
The pal mwenye amebleki ndio huyo ametapika…sa hizi ni shit gani ameanza?Sieezi doze na vomit ya mjango inacheza apo kando so mimi huyo nmetoa hiyo vomit na lazima nitupe nje,and its almost 1:00am .
Kufungua tu mlango,nmeskia tu kichwa imepigwa…macho sasa haioni poa bt nmeona wasee watatu na mapanga na shoka.
"Nmetii baba chukua shit unadai"nmewika.
"wapi pesa"mmoja wao amewika akiniwhip panga mkono.My pal amebleki bado haskii anything.
"sina doh"nmesema in a low tone
Mapanga kadhaa design zingine inakaa movie and im high.Waneamua kuangalia mfuko ya the pal amebleki…
"Buda nini iko kwa mfuko"mmoja wao amemshika mashati bt haskii anythng so nmemshw uyu amebleki hana anything.
I was relaxed outside bt in my mind thougts zinarun mob.Leo nakatwa kichwa.Zii,kama ni ngori itabdi pia mimi nidedi na mmoja.

Ati nini hii?

maswali mingi ndio sitaki

You have a fertile imagination Nv
99% Lies
Good paragraphing…like yangu hupati

Homa inanimalisa elders.

hii ni reql story btw happened to me like two weeks ago…like hiyo unaeza kaa nayo

watu hutumia ‘arif’ for friends unikalia…wacha nisimalize.

na ww ni senior villager???

Huyo ako na PHD in fotografy.

Very distasteful tribalism.

Huoni ni screenshot? Am also a kiuk but me and my extended family will be voting NASA

Upuus

weeding tunafanya na majembe…

Nguruwe niaje

Doesn’t matter. Exercise your right accordingly. Lakini upus ya kabila tuachie babu zetu.

Whether you are voting Nasa or Jubilee who cares…but hyo ni ukabila…

Poa sana kondoo

Unaishi Mlango au Kosovo?