NYAMA CHOMA BIZ

After a lengthy thought process, I have decided on choma business… goat, and chicken. But mainly goat hapo kahawa wendani… although few competitors exist, their location and cleanliness is not appealing to a majority of the potential customers. I want to use that as my advantage… Mniombee sana. Any tips are also welcomed.

Kahawa wendani tafuta chokoraa akuibiange umbwa koko.unatafuta goat tail ukishacinja unaishonea kwa mkia.thank me later.

:D:D:D:D:D

Hehee

Just start.

Ukifikiria sana or seek too much advise you won’t start.

Kesho amka. Anza kuchapa kibanda. Seek licences, then leta nyama.

The next day Anza choma. Start small. You’ll learn as you go

Kuna jamaa hapaalifungua biz ya nyama siku za covid. nmesahau jina yake akuje akupe tips

Ukianza osha elders macho na minofu ya kuvutia, you never know twaweza ku promote kila weekend

Weka wines and spirits. Kwa store weka bed. Hire lanye wa fixed price

Biashara ya perishables although profitable, kufungua ni haraka sana. I would suggest ufanye biashara iko rahisi kuwa na magendo hapa kenya

the way unauza mcoondu sio?

Biashara ya nyama iko pesa mzuri Sana especially if unapika kwa ustadi na uko na hygiene. Pia uangalie customer service juu MTU akikuwa served haraka atarudi kesho

Mimi nataka supu, kichwa na mturaa. High profits in these

Malisa hio nugu kabisa. Ongezea vibare na nyahunyo za shingo

Yes vile Mimi huuza mkundu ya mamako chafu kwa brothel yangu mlolongo.

Don’t be worried about competitors, just become the best nyama choma vendor not just in Kahawa Wendani but in Nairobi.

Ukifanya kazi safi na marketing vizuri, utapata loyal customers.

:D:D

Wishing you all the best, although wakenya hupenda kufukuzafukuza tuinzi kwa nyamachoma ya ugali.

I couldn’t read beyond this point, because I was simply too shocked.

Cc @PHARMACY

Ni @Okiya.

That’s wat u do? Niwachane na mbuzi choma