nyofo

kule gachie kuna boy alikuwa anaitwa karis nick name Nyofo, alikuwa agemate ya sparta
sasa nyofo alikuwa na wazazi thitima sana,akifanya kitu mbaya alikuwa anapewa kichapo kwanza na mama yake…

kuna siku tulienda HOTANI kuogelea,na wazazi walijuwa so sparta akachapwa ile ya juu juu lakini nyofo alipewa kichapo hadi akashindwa kutembea,
sasa sijui nyofo alitoa wapi idea ya kukula red rat,na kumbuka tuko primo class seven apo, nyofo alilamba iyo dawa aka-anza kutoa povu kwa mdomo,majirani wakabuy maziwa trying to safe the boy life, mama nyofo was called na alikuja akipiga nduru akilia, nyofo was taken to kihara medical center na ile karatasi ya redrat
doc akasema boy is fine akapewa tu madawa na kesho yake aka ambiwa aende check up

came to know later nyofo red rat ilikuwa empty alilamba tu ENO no wonder povu kutoka…
mama nyofo took care of his son for 2 weeks ni mafruits na maziwa, nyofo alikuwa anatushow vile anatreatiwa nikama Queen wa England.:smiley:

sasa tabia za nyofo after recovery they didnt change ni zile zile ukora mingi wakiwa na akina sparta,
beating kutoka kwa mama yake haikuisha, nyofo kwanza akikasirika alikuwa ana-ambiya mama yake naenda kunywa sumu, anashikwa na kufungiwa room
hii tabia iliendelea for long hadi mama yake akazoea, alikuwa anamchapa akisema enda ukunywe sumu sasa

sasa vitisho za sumu didnt work at all, nyofo had no plan B, juu ata iyo sumu mara ya kwanza was a hoax

sasa holiday ya iyo mwaka dec,nyofo sijui walifanyana nini na mama yake, nyofo akaona akimbiye kwa shimo ya maji akaingiza miguu zote mbili akitishia watu leo anajitupa ndani,
kila mtu alijuwa nyofo ni muoga hawezi jaribu ni vitisho kama zile za sumu

watu wakikaribia nyofo anazidi kuingia ndani,mama yake alikuja na kiboko

Omothee nikumenya (leo utajionea)

nyofo saw his mother coming akajaribu kutoka akateleza hadi ndani over 70FT down

everybody thought kipii imekufaa

rescue team was organised zile vilio zilikuwa iyo boma, vipii zote za mtaa kulia na wamama
jamaa moja was lowered hadi chini with ropes, kumbuka ocha hakuna ambulance

kipii ilikuwa imekunywa maji, ikafungwa na ropes juu ya ile drum ya maji ikavutwa

miraculously nyofo siku yake haikuwa imefika, boy broke both his legs na mkono na few broken ribs
ikapelekwa kihara medical, then off to kenyatta hosi

nyofo became a Legend iyo mtaa yetu after iyo incident

mama yake kutoka iyo siku akawacha vita
nyofo ata saa hii ngoma ya RED RAT hatakangi kuskia :smiley:

kumbe 9 Lives sio ya paka pekee

Hotani ni nini?

Ama ni wapi?

ni pale tulikuwa tunaenda ku swim
wale wanatambua white cottage ni nauko

Nine lives za Nyofo zitaisha ile siku atakuja nyofolewa sehemu nyeti akipelekea msichana kamili umangaa

24/40: you can do better,be more creative .

:D:D:D

Boys will always be boys

where is baba nyofo in all this? ama nyofo ni wa singo matha? no wonder ako na tabia za kishenztype

Nyofo hufanya nini siku hizi?

I hope he didn’t influence you -vely:D

Huyo ninja I hope mlimwambia asiwai tence :slight_smile:

hustle yake ilikuwa wine and spirit shop pale rwaka, after waititu kuwa mp akajifanya kumaliza makaLI na shop zote za wine n spirit sasa nyofo ako Dubai Ananukisha kitungu

Ile base ya mteremko wazimu before ufike kwa rive :D:D:D:D

Huyo Nyofo ndo the truest legend. Mimi nakumbuka a childhood friend very sharp in class alawai onwa vita moja noma na budake aka hama home for four years. Jamaa alikua form one pale Kakamega high school then during holidays mzee akamwonekania. Nigger travelled from Bungoma to Nairobi by kukaa china ya kiti ya Webuye express na aka manage kuanzisha life huko bila capital. Though vile alimake nobody knows. So after four years jamaa akarudi home unexpectedly na hakua willing kurudi shule juu ameshika pesa yake halafu ni mzee ikabidi tu ameanzisha hustle. Vile msee alipotelea Nairobi the dad swore never to chapa mtoto again

finally a person who knows HOTANI… kuna ninja iyo mteremko ilipanda bike bila break
guess what happened:D

hii only happen to ladies juu wao wanaweza fungua duka bila stoke, kwa jamaa ni ngumu sana

humble beginnings, maybe alianza kama beba then after kupata doo akajisort

swefi, sasa huyo jamaa ni wale vijana wa Kenya wamaendikwa dubai airport kukusanya trolley za wathii?

The stricter the parents the Lucifer the shild:D:D:D:D:D:D:D:D