Nyong'o amekataa

Soprano

Village Elder
#2
***:
"This is no longer funny. I hate to say it, but Hon. Raila should not make Kisumu a ground test for his pointless demostrations and violence. This is the last time I'm tolerating these looters!!"

- Governor Peter Anyang' Nyong'o

THE CHICKEN ARE COMING HOME TO ROOST..
Have just posted the way, Our Chief has reported. @Meria Mata roger that.
Sijui kama ni Ukweli
Link?
 
Fala 12

Kijana Fupi Nono Round
#4
Hio damage KIWASCO water lines ndio 'the straw that broke the camels back'
Juu ya altitude maji kisumu haiwezi flow ba gravity so KIWASCO hupump maji, hizi constant breakages na illegal connections (hawaezi bill slums za kisumu juu ya violence) zinafanya wana run na losses kila wakati. KIWASCO as of now hawana pesa ya kurepair zile pipes zimeharibiww juzi so you can imagine kisumu cbd na milimani bila maji na hakuna hopes za kuirekebisha... Nyong'o anaona moto
 
Etigere

Village Elder
#9

Boss, unaishi Kisumu, you seem to know a whole lot.
 
john_doe

Village Elder
#11
Hio damage KIWASCO water lines ndio 'the straw that broke the camels back'
Juu ya altitude maji kisumu haiwezi flow ba gravity so KIWASCO hupump maji, hizi constant breakages na illegal connections (hawaezi bill slums za kisumu juu ya violence) zinafanya wana run na losses kila wakati. KIWASCO as of now hawana pesa ya kurepair zile pipes zimeharibiww juzi so you can imagine kisumu cbd na milimani bila maji na hakuna hopes za kuirekebisha... Nyong'o anaona moto
Hawa watu wa lakeside ni wajinga, destroying their own resources
 
uwesmake

THE PRESIDENT
#18
Hio damage KIWASCO water lines ndio 'the straw that broke the camels back'
Juu ya altitude maji kisumu haiwezi flow ba gravity so KIWASCO hupump maji, hizi constant breakages na illegal connections (hawaezi bill slums za kisumu juu ya violence) zinafanya wana run na losses kila wakati. KIWASCO as of now hawana pesa ya kurepair zile pipes zimeharibiww juzi so you can imagine kisumu cbd na milimani bila maji na hakuna hopes za kuirekebisha... Nyong'o anaona moto

boss kisumu maji haijawai kuwa kwa tap
 
Top