Nyumba ni choo

Wanakijiji Hamjambo? Leo nimetembelea jiji la Arusha baada ya mizunguko nikaenda mitaa ya Frolida zilipo ofisi za mabasi maarufu ya abiria Klm na pembezoni kuna restaurant nzuri inaitwa Cocos restaurant. Baada ya k upata huduma ya chakula nikaomba huduma ya choo. Nikajibiwa hukuna huduma Hiyo choo imejaa mwenyenyumba ati hataki kurekebisha. Bwana afya wa jiji upo? Nyumba ni choo

Hata shy kuna mgahawa mmoja upo barabara ya old shinyanga una misosi mizuri sana ila choo chao mhhhh! Mabwana afya hawajibiki kabisa cku hizi.

Haaahaa. Wao kazi yao ni kutoa huduma ya chakula tu?. K zaooo

Hmm! Kwa hiyo wanategemea mtu akishiba mzigo akaubwage wapi?..

zipo nyng sana za aina iyo nyngne unakuta toilet iko njanooo, kuta za kijani maji hamna na watu wa afya wapo

Wanataka pesa tu ukishawapa mengine utajijua mwenyewe.

Ukiona nchi choo tu ni shida ujue bado sana.

Teh teh… nchi ya vi-wonder…

Kwa hiyo na mgahawa ni choo

Halafu utakuta hilo eneo kuna Ofisa(Bibi/Bwana) Afya anakula mshahara.