Nyuzi za kuichafua Jf zimezid, wa Tz tuwe na shukran, uvumilivu na subra

Wa Tz wengi tunapenda sana kukatishana tamaa na kuwaza katika negativity sana, kila mmoja wetu anajua Melo alishtukizwa na Hata notisi iliweka wazi, na japo hakua na kosa ila aliomba radhi kwa usumbufu. Tukathibitisha tangazo kupitia media kila kona, tukaona weng wakienda kujisajili, wengne walishndwa wakidai ada ni kubwa ila Melo alidai usalama wetu kwanza. Melo ni muathirika katika hili na anataman jf irud kama mwanzo kuliko yeyote humu, ila sisi tusio na maamuz tunaishia kulaumu uongozi wa jf na kuzid kuichafulia jina.

Tunajua kbsa sheria ya TCRA ndo inambana na akitii imekula kwetu, akikaidi Wote tunajua kitakachompata, tukaomb hata atupe access ya READ ONLY nikiwa mmojawapo kwa kuandika uzi humu kwa bahat nzuri kesho yake mambo yakanyooka nikafrah sana kwa hilo, fb na twitter alijb maswali na lawama mpk akachoka ikabd akae kimya, Sasa ndugu zangu wa Tz mlitaka Melo afanyeje?
Tumekuja ukimbizini tumesahau mema yote ya Melo na Jf yake, kuikubali kwako KT zaid ya Jf isiwe chanzo cha kuichafua Jf, n kweli tunashaka na usalama wetu wa jf na tunaamin kwa sasa KT ndo mkombozi ila tuwe na shukran hata Melo akiona Michango yetu huku ukimbizini ajue kua wa Tz wako nyuma yake apate nguvu ya kutetea watu wanaomwamin, na kumbuka ukionesha kumwamin mtu unampa mtihan mkubwa wa kutaka kudhihirisha uaminifu wako kwake tofaut na usipo mwamin. Kumbuka ulianza kuijua Jf, na kwa kupitia jf ukajua umuhm wa forums hivyo baada ya jf kufungiwa Ukatafta KT ukajiunga, haijalish ulijiunga KT kabla au baada ya Jf kufungiwa ila naamin weng tuliijua kupitia jf na wengne baada ya kuikosa jf.

Mwisho tukumbuke Nyuzi na comment dhidi ya lumumba zilizofanya jf ikafungiwa tumetoa sisi ila Mhanga mkuu n Melo, baada ya kumtia Moyo ndo kwanza tunamharibia. Mtu analaumu ukimuuliza anaushaur gan hana!!!, sasa si bora ufunge bakuli lako, kweny hcho kichwa kama furush la ushirombo lililojaa mabunda na maganda ya mihogo, bichwa kubwa ndan hamna kitu kama popcorn/bis.

Umesikika…

Kabila letu ni jamii forums na halitoweza kubadilika, kupitia JF na kutambua umuhimu wake ndio maana Kenya Talk kwa heshima na tahadhima wameliweka hapa na limetuunganisha tena. Kwahiyo JF bado nitabaki kuipa heshima yake

Hivi tarehe ya kufungwa JF si ilikuwa inajulikana? kwanini hawakututaarifu mapema tuanze kujipanga? matokeo yake tunaamka asubuhi tunajikuta hatuipati JF.

Hili tunawalaumu sana, sasa hivi tungekuwa tumejaa humu karibia wote.

kasome uzi namb moja jf asaiv halaf uje urudie ulichoandka

Mkuu mleta mada tunashukuru kwa angalizo lako. Hiyo ni hali ya kawaida kwenye jamii utapata watakaolaumi, kusifia na kupongeza. Hakuna namna yoyote utapata watu watakaosifia au kukiri ubora tu bila wa kukashifu. Utajuaje wanaovunja moyo jf og ni wale walioogopa nguvu ya jf katika kuelimisha umma? Ingekuwa member wote wanamkashifu Mello hapo sawa, ila kama ni baadhi, huo ni ubinadamu.

Kwa mie sijaona alomlaumu Melo, kila mmoja anasikitika kivyake! Labda sijui maana ya lawama, lakini kama zipo jua sote ni binadamu hatuwezi kufanana! Tuvumiliane na kusameheana tuu!

Jomba tcra walitoa notisi jumapili ya tarehe 10 usiku wakisema tareh11 ambao hawaja jisajili wafunge na usiku huo huo ilipo fika saa6 dk01 Jf ikatoweka nakumbuka notifitication ilkuja hii kwenye scrnshot that night

Nimekuelewa,
Ila kwanini walikuwa wanafuta nyuzi tulizokuwa tunatoa nini kifanyike endapo JF itafungwa?

شيء مهم ناقص؟ أبلغ عن خطأ أو اقترح تحسينًا.هل هناك شيء مهم ناقص؟ أبلغ عن خطأ أو اقترح تحسينًا.هل هناك شيء مهم ناقص؟ أبلغ عن خطأ أو اقترح تحسينًا.هل هناك شيء مهم ناقص؟ أبلغ عن خطأ أو اقترح تحسينًا.هل هناك شيء مهم ناقص؟ أبلغ عن خطأ أو اقترح تحسينًا. هل هناك شيء مهم ناقص؟ أبلغ عن خطأ أو اقترح تحسينًا.هل هناك شيء مهم ناقص؟ أبلغ عن خطأ أو اقترح تحسينًا.

Uko sahihi dugu

Weweee jamaaaa

jf ni nyumbani, na mkataa kwao ni mtumwa

kwa hakika هناك شيء مهم ناقص؟ أبلغ عن خطأ أو اقترح تحسينًا. hakuna namna ni kuvumilia tu hao ndio binadamu

Kweli kabisa, tujipime…

Asante kwa maoni, ila ulivyomalizia sasa, hiyo paragraph ya mwisho!!

hahaaa hio niliweka makusud kama jiwe pangoni kwa ambaye ange mind sana ningejua limempata na ningeanza naye, Pili kama jokes m utani utani sana, nina post zaid ya 120 lkn ambazo npo serious hazizid 2.

Naungamkono hoja wallah

Aisee ni kweli mkuu

Wabongo bhaanaa…