Of satanic women

Wanawake wengine ni mashetani. Their actions defy normal expectations on human conduct. Take the case of the woman in the attached video. Sasa sheppart inajibamba tuu. Kidogo kidogo inachapwa ile mbaya. Wotis?!!

Wewe unaona sheppart na kidogo tu hiyo panga ya kukata miwa ingeteleza ingepita na carotid artery?

bana Shepart womans best friend imeonea dem huruma ikaona iingilie kati ikajua mans best friend ni tofauti na man .

Naona umeiva anatomy

Huyo ni shaitani

It’s my body:)

That fat woman must be totally bonkers…who comes out of her house naked like that to beat up a kid?

Women! In fact the ‘men’ in that word needs to drop…

Ingekuwa sheppart yangu amefanya hivyo angepata RKO na DDT

sheppart ilikuwa inasafisha macho. guilty as charged, but shetani na yeye hapendagi hizo

Hahaha ati boboclat

Dr. Chege.Macharia

:D:D:D:D:D:D:D:D

There is a lot of misuse of parachutes lately.

Huko ni Jamaica…nmesikia bomboclat

dogi ilikua inataka kuuma kanyau:D:D:D:D:D

Ati Bomboclat:D

Kuundwa nayo…!

And I imagine that that naked woman does look at the mirror…thinking she a sexy bitch. Sadder,some man thinks she is. :eek:

You guys mnasema nini. Huko mahali Georgina ametoka hii ni salamu before the main event ya kichapo.
Hasira in Tigania has caused a lot of carnage.

hio mimi nakula iko tu sawa . jinga wewe