Office guys watu wa kuvaa tie na suti ndio tunaenda lunch

Sisi hatutambui kibanda manenoz…tunaenda 5 star hotels for lunch
[ATTACH=full]220215[/ATTACH]

Mzito ndio anapokea lunch yake
[ATTACH=full]220216[/ATTACH]

Looks like a fancy kibanda

Bro, kuna kitu inaitwa irony

Hehehe… izi ni zile stalls zinakuanga kwa soko za uko tunaona vegetables kwa picha za kwanza.
ii haina tafouti na base ya mtura pale muthurwa.

https://i.postimg.cc/9FkGc35Z/a6-OEyy-A-460svwm-1.gif

ghasia

Panyaste kuwa unatumia relatives wako huko busia na bomet kakitu ,hapana kula salary ya embassy peke yako.

:D:D:D…sina ubaya! Niaje leo hauja ingia shift apo kwa nursing home…

I do not know much but at least I know 5 star hotels do not advertise their offers…

Anamaanisha 5€ euro hotels:D

Tumeona hukubleach sana midget

Patikanaaaa

[ATTACH=full]220222[/ATTACH]

Kwani mnakulia kitchen :D:D

Yaani hii umeffi yote inakuwanga ya ku-conclude wewe ni msee wa tie.
Meffi

Jamaa amebadilisha kazi kutoka kuscractch mashosho .sasa ni chef

Hizi ni cheap take away Turkish food joints zenye zinapatikana everywhere in Germany.Hiyo kitu amenunua inaitwa Donna kebab costs around 2 to 4 Euros max.:D:D:D

Umevaa suti na tie ndani ya hiyo kabuti ?? isokeei…

Wasee wa ocha na kupost picha! Smh

Wee unakula blutwurst,brot na altbier wewe @Panyaste

Hehe … Le scampaka hapa hujaambia hii khasia ya Berndora poa