So recently tukiwa mashugli pale kwa mall na madam tukapita karibu na barbershop…Tukacheki hakuwa na queue refu so nikaamua nichapwe kashave juu si kawaida kumpata uyo kinyozi akiwa free.So mi nikaingia barbershop na madam ikawa aendelee kupick vitu kadha hapa na pale as we had planned…
Mi nikanyolewa na nikamaliziwa…kutoka nikaamua sitamcall kwanza nichape lap kidogo nifanye window shopping ya viatu kwa shop ingine hapo tu within the mall.Kabla nifike hiyo shop kuna agent flani wa equity…so mi nikipita nikaona madam amesmama kwa counter ameshikilia ile pdq akifinyafinya buttons…nikaamua niende nimsaidie ata kuskuma trolley…kufika nikapata ndio hiyo PDQ inaprint ka receipt flani…
Aliponiona nikaona ameshtuka…wakati nachukua ile trolley nikigeuka,hapo kwa side kulikuwa na mirror…kuangalia via the reflection nikaona msichana akieka ile receipt kwa mdomo…hakunotice nimemwona though coz aliendelea kutafuna kama chewing gum…For a few seconds there it didnt hit me what was going on till aliporudisha ile pdq ndio attendant akamuuliza “madam mashini imeprint receipt ya balance”…
madam:ndio,thanks…
attendant:is that all?..
madam:yea…asanti sana…
from hapo kijitu kikakuja kikanishika kiuno ati:beb kuna mse amedisplay toys poa poa hapo njee ya supah…let’s go check them out…
Lakini ikifika kwa pesa yangu no one defines transparency better
Anyway kibwagizo ni…Ogopa wanawake…waogope sana mse…
no…you see, i wasn’t meant to see her chewing it…ni kioo ndio niliona…na hukujua nimemwona…but aint it obvious…msichana labda ata ako na mamita kwa account
Apana. This mirror excuse is not good enough. If this is your wife, mkalishe chini and tell her what you have told us. Money, sex are the biggest root causes of divorce.
i might…eventually…first am curious to know if there’s anything else cooking…na sitaki kublow cover…[SIZE=1]ama it could be craving ya kuchew paper rolls…[/SIZE]
Nacheki umekuwa mzee wa hekima sana. Hiyo ndio game wajanja hutaka. Unajifanya fala lakini unamesea kila kitu.Ungemshow hiyo stori angekana halafu afiche doo place ingine. Next time nyemelea ATM ujue ni ngapi ama hack laptop akienda online unaona kila kitu. Hajui uko one step ahead.
Wewe huwezi saidika.
Who knows what else she’s doing behind your back na badala you confront her there and then unabeba na roho ukuje hapa kutusumbua.
The next thing ni shoka unamkulisha because you’ve been bottling too much anger and paranoia.
Haithuru!..