Ogopa Wanawake...Waogope sana mse..

#85
So recently tukiwa mashugli pale kwa mall na madam tukapita karibu na barbershop..Tukacheki hakuwa na queue refu so nikaamua nichapwe kashave juu si kawaida kumpata uyo kinyozi akiwa free.So mi nikaingia barbershop na madam ikawa aendelee kupick vitu kadha hapa na pale as we had planned...

Mi nikanyolewa na nikamaliziwa..kutoka nikaamua sitamcall kwanza nichape lap kidogo nifanye window shopping ya viatu kwa shop ingine hapo tu within the mall.Kabla nifike hiyo shop kuna agent flani wa equity..so mi nikipita nikaona madam amesmama kwa counter ameshikilia ile pdq akifinyafinya buttons...nikaamua niende nimsaidie ata kuskuma trolley..kufika nikapata ndio hiyo PDQ inaprint ka receipt flani.....

Aliponiona nikaona ameshtuka..wakati nachukua ile trolley nikigeuka,hapo kwa side kulikuwa na mirror..kuangalia via the reflection nikaona msichana akieka ile receipt kwa mdomo..hakunotice nimemwona though coz aliendelea kutafuna kama chewing gum..For a few seconds there it didnt hit me what was going on till aliporudisha ile pdq ndio attendant akamuuliza "madam mashini imeprint receipt ya balance"........
madam:ndio,thanks........
attendant:is that all?........
madam:yea..asanti sana.....

from hapo kijitu kikakuja kikanishika kiuno ati:beb kuna mse amedisplay toys poa poa hapo njee ya supah..let's go check them out....

Lakini ikifika kwa pesa yangu no one defines transparency better

Anyway kibwagizo ni....Ogopa wanawake...waogope sana mse..
Even those odds; get a good PI & dig out her details. Otherwise accept & carry on living with consequences of your ignorance...and pay dearly you shall for that.
 

Top