@Okiya et Al

@Okiya et Al, I was thinking of putting some of my eggs in this basket. Will they hatch ama mnaonaje?? Tafadhali saidieni…[ATTACH=full]20764[/ATTACH]

Legitimacy first. Acha niskize maoni pia

I see you want to fund another nigga @MkenyaHalisi and also add a roof over his bollocks. Careful mate IPOs only require that the group is listed on NSE. Is that the case?

no.

[ATTACH=full]20767[/ATTACH]

wacha nikuambie, huyu ni nani,

Unajua hao wajamaa mkichapa muguka ama pombe wanaongea vile wakiwa na office blocks na basi kama kumi thika road wanaweza kula maisha vizuri? wale hujenga castles in the air ukiangalia juu yao unaweza dhani uko enzi za fairy tales? eeeh huyo Collo anaye dreams kibao na a very fertile imagination… sasa huyu Collo akiongezwa IQ points kumi anakua STANLIB, hana pesa, hana kitu lakini ana Hekaya murwa. Atatafuta nyinyi ambao mko na tupesa kwa bank watu kama elfu kumi awauzie hekaya, tofauti ya nyinyi na wale wajamaa wamekaa base wakiuziwa hekaya ni mtakua kwa ka hired board room CBD na tu suti na infinix smart phones. Kila mtu atoe hiyo kapa 20 ikuje kama 200000000, huyu Collo wa CBD board rooms awauzie pia pamphlets na artists impressions, mtoke hapo mkiangalia wale vijana wako base ni kama ni wajinga lakini hamjui nyinyi wote ni wajinga ni ile tu wewe ulienda ukanunua pamphlets na 20000. Collo atakaa, apige hesabu aone hii pesa itakua nzuri ikiwa Panama, na ataenda huko awawachie hekaya

Ni hayo tu

1 Like

Following, piqued my interest and tried to dig a bit. I’m not sure about the relationship with standard bank of SA and I’m lost some how.

hii information si umepewa na STANLIB wenyewe? aka COLLO

Seems legit but they are not revealing expected returns on investment making it very speculative.

1 Like

i have realized that anything advertised by one maina kageni is usually very very veeery exergerated,

You elaborated my very worry.

Without revealing expected returns, the best they offer is a client’s money back. What if they make a profit or loss. Profit during market boom=no problem. Who will pay for the loss if NSE is on a downtrend?

Boss wacha kupiga monitor picha na simu. Your phone si clear enough. To take screenshot ya pc search for snipping tool then use it. Its a system program

2 Likes

Hapana Maina Kageni…iko daily nation(12th Nov) pg 7

Kusema okweli sijui.

Sawa Nkaissery junior… Nani ako na missing point.jpeg?

1 Like

@MkenyaHalisi go through anything about buying stokes because that is what you are about to do.

Sawa Jaduong’ …

The best guy to reply this ni ule talker anaitwa @A4-Architect. He is knowledgeable about this sector na alikuwa na something of this thinking in Kikuyu

You are my friend but it seems you don’t understand how REITS work. Please google

Tell us more…