Kwa nini unangoa reply zangu?hata jakenya alikuwa tu na saa hii huwa anangoa fudhi kwa foreskin yake
Usilete ukabila yako hapa.
Kwani huku ni kwako ?
umesoma terms and conditions??
@ol monk usiogope kuchapa mtu mstari
Umesikia wakinichapa msitari nitakufa ?
hehee munangoya old monkey achape Mutu msitari na kijiji haijashika narre propa.
Kumbe pia matusi iko…hehehe…already feeling home.