OldMonkey Watu Wa Kwenyu Si Wazuri...

I decide to sleep over in Naivasha, nikiamka asubuhi, Kamau na Njoroge broken into my car last night… Halafu hawavunji dirisha,wanaing’oa haswa… Who even does that?? They pluck out my windshield na hile kitu wameiba ni leather jacket pekee… Watu wengine ni ma-Ngwethe kabisa!! I had to drive all the way from Naivasha hadi Westlands bila a windshield,nimepigwa na baridi kama dogi.

[ATTACH=full]5423[/ATTACH] [ATTACH=full]5426[/ATTACH] [ATTACH=full]5427[/ATTACH]

1 Like

Shemale, hiyo dress ni ya nini?

5 Likes

Nyoho… Shemale ndiwe:D:D:D Haujawahi sikia juu kitu inaitwa Kanzu??

:D:DPole mzeiya. Hata mimi nishaisanyiwa windscreen. Nakuimagine na hiyo baridi ikikubeat nacheka tu.

HAWA WASAPERE WANAEZA IBA HATA RANGI YA GARI WAIACHE BILA RANGI, BUT SI WANGEFUNGUA BONNET WAIBE BATTERY

7 Likes

KABLA TWENDE KWA WENGINE WACHA KWANZA TUANZA NA SHIDA ZAKO…

  1. Katika utunzi wako wa sentensi…naona mixup mahali…kwa kimombo hatusemi “Kamau na Njoroge broken into my car”, Tunasema “Kamau na Njoroge broke into my car”…yaani bro…oooooooo…k…OK!!!
  2. Unatuuliza “who even does that” na wewe ndo umetoka kutuambia hapo juu…Kamau na Njoroge…sasa sisi tusemeje na uko na suspects already…
  3. Hatusemi “Hile”…tunaseme “ILE”…iiiiiiiiiii…OK!!
    4.Wameibaa Leather Jacket Pekee…Sasa wangeiba Gari ungepata energy ya kudraft hii storo yako??? Swali tu…
    5.Venye umeweka Picha ya gari bila winshield,…Weka pia ya vile umepigwa na baridi ka Dogi na u explain Dogi hupigwa aje na baridi…na effects huwa nini…kama vile Dogi hulia ama huwa inapata homa…
    Ni hayo tu kwa sasa…
5 Likes

wezi wajinga…jigger infested brains

hehehe pole

Hao wasapere walipeleka hio leather jacket kwa mama pima in exchange of changaa…

Wajinga kabisa hao…Ubaya kutumia akili kama helmet.

Tuliza Kende… Wangeliiba gari ni faida kwangu 30% profit.

Hehehehehe…Kumbe pia wewe ni accomplice ki-plani…??? So complain yako ni wameiba Leather Jacket badala wavuke na Gari yote??? Aaaaahhhh…kama ni hivyo nakuunga mkono kapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii…sa…But ujue utaburn kwa shetani coz ya hiyo thought…

Si hio windscreen ni pesa pia. Ama hawakubeba. And then again, windscreen imewekwa kiholelaholela, making it easy to pluck.

Vile naona ungevaa crash helmet na jacket mzito design ya mtu anaendesha nduthi.

mwanangu si ulipata homa ya 2015-2016

DITICHA U NEED TO GROW UP I SUSPECT UR A WOMAN BTW

Hiyo ndio ilikuletea shida. Hakuna mtu anapenda kanzu

kuliko wale wa tongaren waliibia jogoo imondo wakaacha haina kitu cha kusiagia mahindi? Halafu wakakulia hiyo imondo moja ukali wanaume watano, eish!

Iza budah, i can imagine vile shock ilikupiga ukashangaa kama ni veve imeshika excess ama ni vitu zako tu unaona, those thieves were looking for a quick fix pengine ni walevi ama drug addicts.

Ndio maana nateremsha bitters kuzuia homa,karibuni kanyama hapa Parklands sports club…

[ATTACH=full]5435[/ATTACH]

@oldmonkey aseme alikua wapi usiku

1 Like