Omosh

Nimeona hii interview pale youtube. From minute 10 the nigga starts crying. He is bankrupt with 5 children and two wives. According to unverified sources, this guy has been an alcoholic for many years despite making good chumz at Tahidi High. I wouldn’t wish joblessness on my enemy. Lakini vijana let this be a lesson. Hii Nairobi haina shortage ya raha and good hustles come to an end. It is easy to assume that good times will last na uponde raha like there is no tomorrow. When you see a grown man crying like a baby, just know he has reached rock bottom. I empathize with him and I hope that he finds a way out of the financial mess he is in.

The only constant in life is taxes and the monthly need for an income. It will cost you money to live until the day you hit room temperature. Ukipata shilingi kula sumni, wekeza sumni. It is a really sad thing seeing a man break down like this but his situation is partly due to poor financial decisions in his past.

FYI, this is the type of financial desperation that pushes men into crime and women into prostitution.

https://www.youtube.com/watch?v=ak368oRe-Mc

Hii story ya omosh is heartbreaking and embarrassing at the same time.in tahidi high omosh was the main character who brought traffic to that program, so I believe he was getting a fat paycheck. Wasanii na Kila mtu inafaa tujue opportunity does not knock twice.when you have it utilise it properly and responsibly.jalas got into the industry as a guest in Papa Shirandula but today he has made a name out of himself and he is living large.

First: alikuwa analipwa ngapi??
Lets start from that and calculate his losses for 16 years of tahidi high.
Secondly: people rebrand and move to other things e.g radio personality etc etc…
Hapo kuliendaje?
Third: marrying 2nd wife shows he has financial
Muscle to live a comfortable life…
Hapa kuliendaje

Kila mtu hapambane na hali yake. Ni hayo tu … Lakini nitamfanyia “duwa” … maskini.

Let’s be honest. Hii Nairobi can consume anyone if you don’t understand what lifestyle creep is.

Ever wondered why many 40+ year old doctors and lecturers still can’t afford a 12M townhouse despite earning hundreds of thousands every month for 15+ years?

Hii ndio maana tunasema

MGTOW = freedom

Ghaseer kombamwiko mlevi alienda kuoa mabibi watatu what did he expect?

I preach here everyday, mwanaume jifunze kukaa pekee yako. Jifunze kukaa pekee yako because the minute u will run broke ndio utajua hata watoto wako ni wa serikali kama huna pesa.

Stay single and make that bank until 45. U are a man for phucks sake!

Acha Jamaa apigwe shaft na maisha vilivyo!

This is sad.

naskia alikua anakamua hao ma yellow yellow wa tahidi high kama fakin

Pesa kidogo unaongeza mabibi. Pigwa miti nanii. Pigww miti

Ghasia kesho wewe na @Karoga msikose. Kutakuwa na free drinks and food.
[ATTACH=full]349644[/ATTACH]

  1. Hakuna pesa ya maana alikuwa anapata Tahidi High.

  2. Alafu job ya actor haina consistency, labda huko majuu ukicheza league ya Lupita.

  3. Kuna skill inaitwa “thinking ahead”. Unfortunately, most people in Nairobi don’t have that critical thinking skill.

2 wives and 5 kids as a mere actor? Actors in Kenya very rarely get above 100k a month from their main acting jobs, maybe wale wa DSTV ndio wanaweza pita. Pesa na fame kidogo hivo unaona unawezana na polygamy? Such bonobo behaviours get no sympathy from me. Shida hapa ni low IQ

Pia madume hata kama uko na one wife and two kids usiwekeze kila kitu kwa kids and wife, pale ocha naona mamen wamechapa mbaya after kuretire wazee wako lonely, broke and bitter, utasikia mzee akisema vile alifanya job watoto wakenda uni poa lakini siku hizi wanatumia mathe pesa yeye hapati, wife anampa tu mbao ya fegi, mathe akiwa msick haraka nairobi ama majuu, mzee anatumiwa nduthi aende dispensary.
Kuwa na doo yako kando ya uzeeni, wife akienda ruracio ama hizo group wamama wazee huenda usibaki nyumbani na ngombe.

We will be there Masta

Huyu jamaa si ati ni opposhunetes amekosa, ni fobe imemueza. His sister is Naomi Kamau creator wa mother in law na Tahidi High. He’s also related to Catherine Kamau (kate actress), whose husband is Phil Karanja. Phil na Abel Mutua run one of the most successful film production houses in the country. Those guys roll in sleek benzos, not that a Benz is necessarily a sign of success. The point is huyu jamaa hawezi kosa acting gigs from his network.

His other friend Dennis Mugo (OJ) pia kuna time alikuwa na issues na akoho but it’s like he turned his life around na akapata job poa sana na county ya Embu, he has governor Wamboro’s ear, so huyu msee hawes kosa kazi. Ukiona kila mtu ni kama amem-abandon, hao pia wanaeza kuwa wamejaribu kumsaidia wakashindwa. Sometimes you just have to cut off dead weight.

Naona Jalas has promised to raise a million kshs for the dude plus other local celebs are coming on board…lakini omosh ni macho nyanya :D:D[ATTACH=full]349653[/ATTACH]

Following. I wish him well.

If he is an alcoholic, that he needs serious help. Its one of the hardest addictions to beat. When you are an entertainer and you peak, all you have to do is cash in on your celebrity status through branding. Sell items for people. Exactly what Betty Kyalo and others are doing. Little hustles here and there, investing them for the long term is the way to go.

Mambo of marrying two wives is a no.

Broken record. Leta ingine mpya aisee

so hapa Berkley unasema niwache kunywa fombe ama?