Omulette killed Gitau Bed tyme stories with kihii kiaganu

Huku kijiji yetu ya wangige kuna jamaa alikuwa anaitwa Gitau alikuwa anakula mayai tano kila siku kwa mwaka. Aliendelea Hivyo hadi siku moja akapata heart attack. Sasa watu wote wa kijiji wanaogopa kula mayai mingi.
Lakini mimi nitakula tu. [ATTACH=full]90479[/ATTACH]

2 Likes

Wewe hufanya kazi luminarc?

2 Likes

utaoa lini…

chakula cha bachelor akiamua kupika

1 Like

Na nyanya kwa mayai is very nauseating

1 Like

opuss!

hizo ni bedding chini ya meza? sufferation is real i tell you!

13 Likes

Nyanya kwa mayai ni poa kwanza kama umefika home kama umechoka.

3 Likes

Eggs cannot give you a heart attack

2 Likes

All-in one room…

1 Like

store ya SQ ya mama @mishty

1 Like

About eggs giving one a heart attack, it’s a fact that all persons who’ve taken water over the last 100 years have died…so be very careful.
@mukuna is way ahead of the pack in water avoidance.

14 Likes

The lighting indicates that the room is super small.Using incandescent bulb ya Philips.

1 Like

@Liberty weka @Kihii Kiaganu kwa maombi leo priss he needs divine intervention

1 Like

Mcoondu

Mjaa laana

why do you waste money on alcohol that you can hardly afford at the expense of living like a decent human being? hizo guiness ulikunywa jana zingenunua nyama quarter ngapi?

3 Likes

mayai na ugali ni meal poa sana; imeninonesha hadi watu wanashangaa nalia shida lakini mwili inakaa fiti

4 Likes

hehehe hiyo food ilininonesha enzi za ktalk hadi nikatafuta mawaidha ya kutoa mafuta. shiet

1 Like

fisixd

1 Like

nakwambia nimejaribu situps zimekataa kitambi inakuja tuu. ulifanya nini mafuta ikaisha?