On Bail

kah tony

Village Elder
#1
Wadau nimeland. As for wale wamekuwa wakiniulizia nilikuwa nakula changarawe Shimo la tewa prison. I'm out on bail maze tumejaribu prison break ki Gideon Mbuzi haikuwezekana. Nilishikwa ukambani kwa Private matatu kumbe mzigo kadhaa zilikuwa ivory na pembe za kifaru.
Narudi napata bibi amejitoa, gf na yeye amehama. Hii dunia wazazi pekee ndio naweza tegemea.

Otherwise, nimewamiss sana. Huduma number ndio nini ebu mtu anichanue
 
Motokubwa

Njamba ya ruriri
#3

first things first, sukuma umechunishwa kuchunishwa
 
K

Kimakia

Guest
#9
Wadau nimeland. As for wale wamekuwa wakiniulizia nilikuwa nakula changarawe Shimo la tewa prison. I'm out on bail maze tumejaribu prison break ki Gideon Mbuzi haikuwezekana. Nilishikwa ukambani kwa Private matatu kumbe mzigo kadhaa zilikuwa ivory na pembe za kifaru.
Narudi napata bibi amejitoa, gf na yeye amehama. Hii dunia wazazi pekee ndio naweza tegemea.

Otherwise, nimewamiss sana. Huduma number ndio nini ebu mtu anichanue
Karibu sana.Kama bibi amejitoa usijali kuna option B.I hope they did not drop the soap often on you
 
Top