Wadau nimeland. As for wale wamekuwa wakiniulizia nilikuwa nakula changarawe Shimo la tewa prison. I’m out on bail maze tumejaribu prison break ki Gideon Mbuzi haikuwezekana. Nilishikwa ukambani kwa Private matatu kumbe mzigo kadhaa zilikuwa ivory na pembe za kifaru.
Narudi napata bibi amejitoa, gf na yeye amehama. Hii dunia wazazi pekee ndio naweza tegemea.
Otherwise, nimewamiss sana. Huduma number ndio nini ebu mtu anichanue
ice chieth anafanya apprenticeship awe plumber huko ruiru hata juzi alinunua black mamba Naye pamba Yuko mwisho ya Kenya, hao hawawezi Saidia wewe,labda yule jamaa WA malimali @Mundu Mulosi