Online jobs, anyone?

#14
how do i create account and work with ovocorp
hizo account unaeza create and stay for aeons without being rated even a star. ku bid inaingiana ukionekana ukona stars kadhaa kwa acct yako.

prolly id advice you ununue acct na usinunue hio sijui unaita uvokop. That one is too expensive. Unaeza jaribu writerscash
 
#15

not too expe nina moja nauza 60k best price tu kuna watu wanauza 100k thats too high
 
Top