Yaani mlisema hamtawai niambia vile hii pesa ya online inaingia? Nimejaribu ku seek information ℹ na all my multiple handles with no avail.
@NJENGAH alisema nifungue affiliate marketing website nikashindwa ku rank vizuri
@homo web dev na @mukuna wakasema niingie upwork nimeshinda niki bid sipati kitu
@Marty McFly akasema tununue ethereleum hii maneno ya crypto currency inataka capital mingi.
Ata ule mtu alinisaidia ni @aleki vile alisema niingie iwriter.