Only people who have worked at a mujengo site can relate

[ATTACH=full]225534[/ATTACH]

Hahaha so nowadays people eat matumbo kwa mjengo…that’s real development. I remember we would take porridge and chapo tatu for breakfast…Then lunch ni ugali ngumu na omena

:D:D:D:D…Upuss! I personally buy matumbo and meat for my guys .

That’s pretty good eating right there. I wish I can get chapati every day. I am lucky to see chapos once a week.

Yep there was a guy who used to buy his casuals matumbo or beef ugali every lunch for almost a year…mind you he was putting up not two but three houses for his youngest kao wife on balozi road kitengela… and he was constructing next to our site…needless to say all casuals wanted to work for him…

 Never outshine the master :D:D

Yep, it works wonders… i deliberately employ one lady as part of the watu mkono ndio lunch ikifika anapikia wasee.

Lucky you. It’s been 4 months for me. Chapo na sambusa tunaziona kwa mbisha tu

halafu unawakata ngapi mtiaji?

na wewe ukule kile kinapatikana ama uende ukaulize kazi kwa kibanda,shaitan

by the way mbona hii sensitivity ya ujinga inakuwa kwa mjengo ?

kwanza foreman anaweza kuwa na feelings mingi za kidem alafu kazi hiyo anaipea overated meaning, unezadhani ni ya ku tengeneza binadamu mwingine…
stupid fucktards,

:D:D:D ghasia!

mjengo kwanza ile ya kuweka slab gym kando

:smiley:

Nothing … niki quote job i factor in the cost of food and gas.

Beshte ya mine alifanya hii job siku ya kwanza. The following day alikuwa na pain mwili yote. Lunchtime akaaitisha mbese na nyagus lakini hakikula sababu ya maumivu. Hivyo ndio aliwacha kazi ya mjengo.

unamaanisha huwezi pata Ten bob ukanunue chapo kwa kibandaski ama ni ufala gani unajaribu kusema

Woii si you overwork her aki…anafanya job ya mjei then lunch ikikaribia unamwambia akapike…enyewe mnyonge hana chake

najua site ile mtiaji ni foreman watu wa mkono ndio hununua lunch na mafundi supper,suppliers changaa @Ice_Cube tafuta ya gachomo foreman uweke hapa chapchap

Kumbuka pia uyo madam ni chakula ya foreman kimpango